KLOK

Monday, April 18, 2016

RING THE BELL KARAGWE

Wanaosoma katika  shule ya Nyahanga wanadai haki ya elimu kwa walemavu itolewe
baada ya shirika lisilo la kiserikali la KCBRP ku fanya kampaini ya Ring the Bell ilio fanyika tarehe 10/3/2016

 Flavian Kishekwa 

Psycho-social Counselor  akizungumza na muwakilisha wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Karagwe kuhusu kampeini hio kubwa ya kuwezesha watu wenye uemavu kupata haki yao yamsingi yaki katiba.




DOWN SYNROME

Watoto wenye ulemavu wa ainaya Down syndrome kwenye picha


Mtoto mwenye ulemavu wa Down syndrome akisoma katika shule ya Nyahanga ndani ya kitengo cha special unity yaani kitengo maalumu kwa watoto wenye ulemavu kwenye shule hio.
.



1 comment:

Unknown said...

MMEJITAHIDI SANA HONGERENI