KLOK: Favcom

Wednesday, April 20, 2016

Favcom

Huyu mtoto ana tatizo la mkona pinde kwasababu ya kuto fanyiwa mazoe ya mara kwamara yaani therapy kitaalamu, Ana anaishi na bibi yake bila wazazi wake inasemekana tatizo la mkono lili patikana punde tu baada ya kuzaliawa na hawaku gundua namna yakuli tatua mape kabla ya kulemaa.

No comments: